TAWSEI Staff Members
Wa kwanza kushoto Dotto Zuberi (staff Tawsei), Kudura Saidi (staff Tawsei), Bernadetha Choma (Mkurugenzi Mtendaji), Mrisho Omary (staff Tawsei), Zainabu Salim (Mhasibu Tawsei).
Wa kwanza kushoto Dotto Zuberi (staff Tawsei), Kudura Saidi (staff Tawsei), Bernadetha Choma (Mkurugenzi Mtendaji), Mrisho Omary (staff Tawsei), Zainabu Salim (Mhasibu Tawsei).
Utambulisho wa mradi “MWANANCHI TIMIZA WAJIBU, FUATILIA RASILIMALI ZA UMA” kata ya Gombero.
Wananchi kata ya Daruni wakipata elimu juu ya “Mwananchi timiza wajibu, fuatilia rasilimali za uma”

Picha ya pamoja wadau wa afya na mamlaka katika utambulisho wa mradi wa afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga.
Picha ya pamoja ya wafanyakazi wa Tawsei na ugeni kutoka tume ya utawala bora na C.E.O Ndugu Nabor akiwa ndiye kiongozi wa msafara kutoka makao makuu.
Picha ya pamoja ya TAWSEI na Mkuu wa Wilaya ya Mkinga Col. Sulumbu na Waheshimiwa madiwani katika ufunguzi wa mafunzo katika ufuatiliaji wa rasilimali za uma katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga.
Picha ya pamoja ya Waheshimiwa Madiwani na kamati za PETs kwenye kata za mradi “UFUATILIAJI RASILIMALI ZA UMA” kwenye sekta ya maji.
Meneja wa TAKUKUKURU Wilaya ya Mkinga akitoa mafunzo kwa Madiwani juu ya mianya ya rushwa katika miradi ya ufuatiliaji rasilimali za uma katika sekta ya maji.
Wananchi wa Kata ya Mwakijembe Kijiji cha Perani, wakijadili hatua za mradi wa ufuatiliaji wa rasilimali za uma sekta ya maji.
Shirika la TAWSEI katika maonyesho ya sikukuu ya Wanawake duniani 2023.