JARIBIO LA UIBUAJI WA MIRADI. August 21, 2023By info@tawsei.or.tz0 comment Baadhi ya wananchi waliojitokeza na kushiriki mafunzo ya ushawishi na uhamasishaji wa miradi ya maendeleo, wakiwa kwenye vikundi vya jaribio la namna ya kuibua miradi mbalimbali kuanzia ngazi ya kitongoji