• Become a Volunteer
  • Donate
Follow Us Facebook ProfileTwitter ProfileLinkedIn ProfileInstagram Profile
TAWSEI - Tanzania Women for Self Initiatives
  • HOME
  • ABOUT US
  • OUR OBJECTIVES
  • OUR PROGRAMS & ACTIVITIES
    • OUR PROGRAMS
    • OUR ACTIVITIES
  • NEWS
  • CONTACT US

Author Archives: admin@magwiji.com

HomeArticles Posted by admin@magwiji.com

TAWSEI Staff Members

March 22, 2023By admin@magwiji.com1 Comment

Wa kwanza kushoto Dotto Zuberi (staff Tawsei), Kudura Saidi (staff Tawsei), Bernadetha Choma (Mkurugenzi Mtendaji), Mrisho Omary (staff Tawsei), Zainabu Salim (Mhasibu Tawsei).

READ MORE
Events

Utambulisho wa Mradi

March 22, 2023By admin@magwiji.com0 comment

Utambulisho wa mradi “MWANANCHI TIMIZA WAJIBU, FUATILIA RASILIMALI ZA UMA” kata ya Gombero.

READ MORE
Events

Wananchi kata ya Daruni wakipata elimu

March 22, 2023By admin@magwiji.com0 comment

Wananchi kata ya Daruni wakipata elimu juu ya “Mwananchi timiza wajibu, fuatilia rasilimali za uma”

READ MORE
Events

Wadau wa Afya na Mamlaka

March 22, 2023By admin@magwiji.com1 Comment

Picha ya pamoja wadau wa afya na mamlaka katika utambulisho wa mradi wa afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga.

READ MORE
Events

Tawsei na Tume ya Utawala Bora

March 22, 2023By admin@magwiji.com1 Comment

Picha ya pamoja ya wafanyakazi wa Tawsei na ugeni kutoka tume ya utawala bora na C.E.O Ndugu Nabor akiwa ndiye kiongozi wa msafara kutoka makao makuu.

READ MORE
Events

TAWSEI na Mkuu wa Wilaya ya Mkinga na Madiwani

March 22, 2023By admin@magwiji.com1 Comment

Picha ya pamoja ya TAWSEI na Mkuu wa Wilaya ya Mkinga Col. Sulumbu na Waheshimiwa madiwani katika ufunguzi wa mafunzo katika ufuatiliaji wa rasilimali za uma katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga.

READ MORE
Events

Waheshimiwa Madiwani na kamati za PETs

March 22, 2023By admin@magwiji.com0 comment

Picha ya pamoja ya Waheshimiwa Madiwani na kamati za PETs kwenye kata za mradi “UFUATILIAJI RASILIMALI ZA UMA” kwenye sekta ya maji.

READ MORE
Events

Mafunzo kwa Madiwani juu ya rushwa

March 22, 2023By admin@magwiji.com0 comment

Meneja wa TAKUKUKURU Wilaya ya Mkinga akitoa mafunzo kwa Madiwani juu ya mianya ya rushwa katika miradi ya ufuatiliaji rasilimali za uma katika sekta ya maji.

READ MORE
Events

Wananchi wa Kata ya Mwakijembe, Perani

March 22, 2023By admin@magwiji.com0 comment

Wananchi wa Kata ya Mwakijembe Kijiji cha Perani, wakijadili hatua za mradi wa ufuatiliaji wa rasilimali za uma sekta ya maji.

READ MORE
Events

Sikukuu ya Wanawake duniani 2023

March 8, 2023By admin@magwiji.com0 comment

Shirika la TAWSEI katika maonyesho ya sikukuu ya Wanawake duniani 2023.

READ MORE

Recent News

  • MAFUNZO YA KAMATI ZA UFUATILIAJI WA MATUMIZI YA RASILIMALI ZA UMMA (PETS)

    October 20, 2024
  • JARIBIO LA UIBUAJI WA MIRADI.

    August 21, 2023
  • MAFUNZO YA USHAWISHI NA UHAMASISHAJI

    August 21, 2023

Categories

  • Events (14)
  • News (12)
  • Uncategorized (3)

About Us

TAWSEI is a civil organization founded in 2006 on 29/05/2006 it was awarded Certificate of Acceptance No. 00NGO/001899 from the Ministry of community development, gender, women and special groups.

LEARN MORE

Our Partners

  • National Audit office of Tanzania
  • Local Government Authority
  • Foundation For Civil Society
  • WAJIBU Institute

Contact Info

If you need more information about our organization, feel free reach us through
Phone: +255 712 340 884
Email: info@tawsei.or.tz

© 2023 TAWSEI - All Rights Reserved | Developed by Magwiji Solutions
  • Privacy Policy
  • Terms & Conditions