Muonekano wa bwawa la Mbuta lililopo Kata ya Mwakijembe Wilaya ya Mkinga, baada ya kufikiwa na mradi wa “WAJIBIKA MWANANCHI FUATILIA RASILIMALI ZA MAJI KWA MAENDELEO YAKO”.