Kupitita utekelezaji wa mradi wa uboreshaji huduma za afya katika wilaya ya Mkinga, Wanajamii wa kata ya Maramba walijitokeza katika mkutano wa uchangiaji wa changamoto wanazozipata kuhusu upatikanaji wa huduma bora za afya.