MAFUNZO YA USHAWISHI NA UHAMASISHAJI
Menejimenti ya Tawsei, Viongozi wa Serikali za vijiji, Viongozi wa dini pamoja na Viongozi wa vituo vya bodaboda wakiwa kwenye mafunzo ya kujengewa uwezo wa kufanya ushawishi na uhamasishaji ili kuchochea maendeleo ya miradi mbalimbali inayoibuliwa katika jamii.

