Baadhi ya wananchi waliojitokeza na kushiriki mafunzo ya ushawishi na uhamasishaji wa miradi ya maendeleo, wakiwa kwenye vikundi vya jaribio la namna ya kuibua miradi mbalimbali kuanzia ngazi ya kitongoji