Picha ikionyesha bwawa la mbuta lililopo kata ya Mwakijembe Wilaya ya Mkinga Mkoa wa Tanga, kabla ya kufikiwa na mradi, Wakazi wa Kata ya Mwakijembe na maeneo jirani wamekuwa wakilitumia bwawa hili huku kukiwa na changamoto kubwa ya miundombinu ya kuhifadhi maji hayo, hali iliyopelekea kuwepo na shida kubwa ya maji wakati wa kipindi cha kiangazi.